| Names of the Courses in Swahili |
English Equivalents |
| FIRST YEAR (in 2000, 2003, 2006) |
- Mtindo shirikishi wa mafundisho ya Dini
- Katekisimu ya Kanisa Katoliki
- Maadili na Dhamiri ya Kikristo
- Sakramenti ya Ndoa katika Kanisa Katoliki
- Nyaraka kwa: Wafilipi, Wakolosai na Waefeso
- Falsafa ya maumbile
- Injili ya Uhai
- Mafundisho ya Mapapa kuhusu Jamii na Dini mbali mbali
|
- Participatory Methodology
- New Catholic Catechism
- Morality and Christian Conscience
- Catholic Marriage
- Letters to Philippians, Colossians and Ephesians
- Philosophy of Creation
- Living Gospel
- Papal Encyclicals on Social and Religion
|
| SECOND YEAR (in 2001, 2004, 2007) |
- Liturjia - Mwaka wa Kanisa na sikuu za Kanisa
- Sakramenti ya - Ubatizo, Kipaimara na Ekarist, Kitubio na Mpako wa wagonjwa
- Sheria za Kanisa - Kuchagua
- Biblia - Vitabu vya kuchagua
- Katekisimu ya Kanisa Katoliki
- Historia ya Kanisa - Kanisa la Afrika
- Uchungaji - Mada za kuchagua
- Filosofia - Mada za kuchagua
|
- Liturgical Year
- Sacraments of Christian Initiation, Reconciliation and Anointing of the Sick
- Church Law - Selected TopicS
- Bible - Selected Books
- New Catholic Catechism
- African Church History
- Pastoral Theology - Selected Topics
- Philosophy - Selected Topics
|
| THIRD YEAR (in 2002, 2005, 2008) |
- Dini ya Kiislamu na Dini za asili
- Jamii na Mtaguso wa Pili wa Vatikano
- Uchungaji - Matatizo ya familia na malezi ya vijana
- Sheria za kanisa - Mada za kuchagua
- Maisha ya Kiroho - Mada za kuchagua
- Uenezaji Injili
- Liturjia na vyama vya majitoleo ya Ibada mbali mbali katika kanisa katoliki
- Miito mbali mbali ya Kikristo
|
- Islam and Traditional Religions
- Vatican II on Social Issues
- Pastoral Theology and Family
- Church Law - Selected Topics
- Spiritual Life - Selected Topics
- Evangelisation
- Liturgy and Popular Devotions
- Christian Vocations
|